NUKUU

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA LAVA LAVA KUHUSU MAISHA

Download | Play Now
NUKUU YA LEO KUTOKA KWA LAVA LAVA KUHUSU MAISHA

โ€œMaisha hayapo sawa kila siku, lakini lazima uendelee kusonga mbele.โ€
โ€” Lava Lava, Msanii

Maelezo: Kila siku haiwezi kuwa nzuri, lakini kila siku ina nafasi ya kuendelea mbele. Usikubali siku mbaya ikuamue maisha yako yote. Simama, songa mbele, na uamini kesho itakuwa bora.

๐Ÿ• Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.

#NukuuYaLeo #IKMziki #LavaLava #Maisha

Copyright ยฉ 2018 IKMZIKI.COM, ยฉ 2023 IkMziki.com rights reserved.