
“Hakuna anayelala na kuamka tajiri bila kuweka kazi.”
— Diamond Platnumz, Msanii na Mjasiriamali
Maelezo: Mafanikio si bahati, ni matokeo ya kazi ya kila siku. Watu wengi huona matokeo lakini hawaoni juhudi zilizowekwa nyuma yake. Kama unataka kufika mbali, jitayarishe kufanya kazi hata pale wengine wanapumzika.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #DiamondPlatnumz #KaziNgumu
