E NEWS

MARIOO KAKASIRIKA SASA ATANGAZA UJIO WA EP MPYA

Download | Play Now
MARIOO KAKASIRIKA SASA ATANGAZA UJIO WA EP MPYA

Msanii wa Bongo Fleva Marioo amewashtua mashabiki wake baada ya kutoa tangazo la dharura kuhusu ujio wa EP yake mpya kupitia mitandao ya kijamii.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Marioo aliandika “State of Emergency #MMMCXII” pamoja na “Ready and Prepared  #MMMCXII EP 2026”, akionyesha kuwa yupo tayari kabisa kuachia kazi hiyo mpya inayotarajiwa kutoka mwaka 2026.

Sikiliza Nyimbo ya Mwisho ya Marioo Hii Hapa : Marioo, Al Xapo, Benzoo & EeQue – SNOKONOKO III

EP hiyo imepewa jina la “MMMCXII”, ambalo ni namba za Kirumi zinazotafsiriwa kuwa 3112, jambo ambalo limezua maswali mengi kwa mashabiki wakijiuliza lina maana gani hasa au lina ujumbe gani wa kipekee.

Hadi sasa, Marioo bado hajaweka wazi tarehe rasmi ya kuachia EP hiyo, lakini tayari ameanza kuwasha moto wa matarajio kwa mashabiki wake.

Endelea kufuatilia IK MZIKI kwa taarifa zaidi na updates zote kuhusu ujio wa EP hii mpya.

Also,more tracks from Marioo :

AUDIO : Marioo – OLUWA
AUDIO : Marioo – Shetani
AUDIO : Marioo ft. ELEMENT EleéeH – Njozi
AUDIO : Marioo Ft Misso Misondo – Unanichekesha
AUDIO : Marioo – Dunia

#Marioo #MMMCXII #BongoFleva #IKMziki #NewMusic #2026