
“Je, redio na TV bado zina nguvu sawa kwenye muziki wa leo? ”
Zamani ukipigwa redioni ulikuwa umefika.
Leo mitandao inatawala.
Je, media za jadi bado zina nafasi kubwa kwenye burudani?
Andika maoni yako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Media #Streaming #BurudaniYaBongo
