E NEWS KAZALIWA

LEO TAR 8-2 KAZALIWA MDAU NA MENEJA WA MUZIKI LUCA SHOW

Download | Play Now
LEO TAR 8-2 KAZALIWA MDAU NA MENEJA WA MUZIKI LUCA SHOW

Leo tarehe 8 mwezi wa Pili, kazaliwa mdau mkubwa wa muziki na meneja maarufu kama Luca Show.

Luca Show amekuwa miongoni mwa watu muhimu wanaoendelea kusapoti na kukuza muziki wa Singeli, akitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya wasanii wa mtaa. Kwa miaka mingi amefanya kazi kama meneja wa msanii wa Singeli Buda Zoni, akisimamia na kusaidia safari ya muziki wake.

Uwepo wake kwenye tasnia umechangia kuimarisha harakati za Singeli na kuwapa nafasi wasanii chipukizi kuonekana.Endelea kufuatilia IKMZIKI.COM kwa kumbukumbu na habari za wadau wa muziki kila siku.

IK MZIKI tunamtakia kila la kheri katika maisha na majukumu yake ya kuendeleza burudani.

#IKMZIKI #KazaliwaLeo #LucaShow #Singeli #BurudaniTanzania #MusicManager