
Msanii maarufu wa Singeli Zombi Target ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la “After Bachela”, ikiwa na jumla ya track 5 zenye mdundo mkali na ladha halisi ya Singeli.
ALBUM HII APA : EP Zombi Target – After Bachela
Kati ya nyimbo hizo, track mbili ni kolabo: Vitoto vya 2000 – Zombi Target Ft. Isco Wayne,Salamu – Zombi Target Ft. Zilla Kipaji,EP hii imeandaliwa kwa ubunifu mkubwa, ikisaidiwa na maproducer wakali kama Duke Utauwa, ikileta vibe za haraka, mapenzi na hadithi za mitaani zinazomfanya Zombi Target kuwa mmoja wa wasanii wa Singeli wanaovutiwa.
EP hii ya moto inapatikana sasa kupitia IK MZIKI – hakikisha unafuata ukurasa wetu kwa nyimbo mpya, habari za Singeli na burudani kila siku!
#ZombiTarget #AfterBachela #Singeli #IKMZIKI #IscoWayne #ZillaKipaji
