Leo tar 26, kazaliwa msanii wa muziki wa Singeli maarufu kama Boba MC — anayejulikana kama tale halisi katika muziki wa Singeli.
Boba MC ni miongoni mwa wasanii wachanga wanaokuja kwa kasi kubwa, akitambulika kwa sauti ya nguvu, mistari ya mtaani na mtindo unaoakisi Singeli halisi. Kupitia kazi zake, ameanza kujijengea jina na mashabiki wengi ndani ya muda mfupi.
IK MZIKI inaendelea kuweka kumbukumbu ya siku za kuzaliwa kwa wasanii wa Singeli na burudani kwa ujumla kutoka Tanzania.
Hashtags:
#IKMZIKI #KazaliwaLeo #BobaMC #Singeli #SingeliHalisi #BurudaniTanzania
