
Leo tarehe 25 January, kazaliwa Patrick Naubutu — msanii na muimbaji wa nyimbo za Gospel, anayejulikana kwa ujumbe wa imani, faraja na kumtukuza Mungu kupitia muziki wake.
IK MZIKI inaendelea kuweka kumbukumbu za siku za kuzaliwa kwa wasanii wa burudani na injili kutoka Tanzania.
#IKMZIKI #KazaliwaLeo #PatrickNaubutu #GospelMusic #Injili #BurudaniTanzania
