
Mashabiki wa Singeli, jiandaeni kisaikolojia kwa sababu kinachokuja sio cha kawaida Msanii hatari wa Singeli Khan Love yupo mbioni kuachia track mpya kali inayoitwa “SHUGA MAMMY”, akimshirikisha Midabo Fleva – kolabo ambayo tayari inatajwa kuwa balaa la mwaka
Hii ni ngoma yenye vibe kali, mashairi ya moto na mdundo wa kasi unaotikisa mitaa. Khan Love amerudi na njaa ya hits, Midabo Fleva naye ameingia kwa ubabe – matokeo yake ni kazi nzito isiyo na mpinzani
TAREHE 26 HII – USIPANGE KITU KINGINE! Hakikisha uko tayari, weka alarm, waambie marafiki, kwa sababu “Shuga Mammy” inakuja kubadilisha game ya Singeli HUKOSI KUSKILIZA | HUKOSI KUSHARE | HUKOSI KUONGEA
Hii sio comeback, hii ni kishindo cha kweli!
#KhanLove #MidaboFleva #ShugaMammy #Singeli #KishindoKizito #26Hii
