E NEWS SINGELI

BALAA ZITO !!! DJ ONE TZ MKALI WA DIMBE KUSHUSHA EP MPYA “MR KIMBIZA”

Download | Play Now
BALAA ZITO !!! DJ ONE TZ MKALI WA DIMBE KUSHUSHA EP MPYA "MR KIMBIZA"

DJ mkali wa Singeli nchini Tanzania, anayejulikana kama DJ One Tz – Mkali wa Dimbe, anatarajiwa kushusha EP mpya ya beat za Singeli itakayojulikana kama “MR KIMBIZA.”

BEAT YA MWISHO YA DJ ONE TZ : DJ One Tz – Kainama Singeli Beat

EP hii inatajwa kubeba beat nne kali sana, zenye kasi, nguvu na ladha ya kipekee ambayo ni saini halisi ya DJ One Tz. Kwa wale wanaofuatilia Singeli kwa karibu, jina lake halihitaji utambulisho mkubwa — huyu ni DJ anayejua kuitengeneza mtaa ucheze bila kupumua.

“MR KIMBIZA” inatarajiwa kuwa EP ya aina yake, yenye beat zitakazowapa nafasi wasanii wengi kupiga freestyle, kufanya collabo na kuachia vibao vizito. Huu ni ujio unaoonesha ubunifu mkubwa na kiwango cha juu cha production kutoka kwa DJ One Tz, mmoja wa maproduza na DJs wanaoheshimika sana kwenye game la Singeli.

EP ya MR KIMBIZA itapatikana rasmi kupitia IK MZIKI, tovuti yako namba moja kwa Singeli, burudani na habari moto.
Usiache kutufuatilia kwa taarifa zaidi kuhusu tarehe rasmi ya kutoka kwa EP hii kali sana!

#DJOneTz #MrKimbizaEP #SingeliBeats #MkaliWaDimbe #IKMZIKI

Also,more tracks from DJ One Tz:

AUDIO : DJ One Tz Ft. Diamond Platnumz – Niache Singeli Version Beat
AUDIO : DJ One Tz – Dimbe Inogile Singeli Beat
AUDIO : DJ One Tz – Singeli Zikiri Beat
AUDIO : DJ One Tz – Dimbe Msumari Singeli Beat
AUDIO : DJ One Tz – DJ Wetu Dimbe Singeli Beat
AUDIO : DJ One tz – Yanga Day Singeli Beat
AUDIO : DJ One tz – Tekenya Singeli Dimbe Misemo 2025
AUDIO : DJ One Tz – Midundo ya Usiku Singeli Beat
AUDIO   DJ One tz – Wabaya Singeli Beat