E NEWS

TEAM NZIMA YA IK MZIKI INAWATAKIA HERI YA CHRISTMASS NA MWAKA MPYA

Download | Play Now

Kwa wapenzi wote wa muziki, wasanii, producers, DJs na familia nzima ya burudani — IK MZIKI inawatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya uliojaa baraka, mafanikio na afya njema.

Asanteni kwa kuendelea kuwa nasi, kutuunga mkono na kuipa nguvu tasnia ya muziki. Tuendelee kushikamana na kuukuza muziki wetu mwaka mpya.

Upendo, amani na muziki mwema daima