
“Sanaa ni hisia. Ukifanya bila moyo, watu watasikia tu sauti — si ujumbe.”
— Mr Blue, Msanii na Mwandishi wa Mistari
Ujumbe:
Katika muziki, sio tu kuhusu midundo na maneno. Ni kuhusu hisia unazoweka ndani yake. Watu hawakumbuki melodi tu; wanakumbuka namna ulivyowafanya wajisikie. Ukiweka moyo kwenye kazi yako, hata ukimya unaongea.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #MrBlue #SanaaNiHisia
Soma na Hii Pia :
NUKUU YA LEO : KUTOKA KWA WHOZU KUHUSU UHALISIA
