
Hatimaye subira ya mashabiki imefika mwisho. Mfalme wa Singeli Tanzania, Mczo Morfan, ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la PGF – Pamoja Gang Family.
Album hii imejaa midundo ya kasi, vibe za uswahilini na ujumbe wa mtaa, ikionesha ubora wa kipekee wa Mczo Morfan katika mtindo wake wa Singeli unaomtofautisha. Kupitia kazi hii, Mczo Morfan anaendeleza jina lake kama mmoja wa wasanii wakubwa na wenye ushawishi mkubwa ndani ya Singeli Afrika Mashariki.
Pamoja Gang Family ni album inayosheherekea umoja, ubunifu na maisha halisi ya mtaani, huku ikibeba sauti halisi ya Singeli safi isiyo na chenga.
Orodha Kamili ya Nyimbo – Pamoja Gang Family Album
Pamoja Gang Family Album Full Traclist
- Mczo Morfan – Sio Shida | Download
- Mczo Morfan – Matumizi Makali | Download
- Mczo Morfan – Uswahilini | Download
- Mczo Morfan – Na Aseme | Download
- Mczo Morfan – Kwa Ubishi | Download
- Mczo Morfan – Life | Downnload
- Mczo Morfan – Basi Niache | Download
- Mczo Morfan – Dear | Download
- Mczo Morfan – Uzuli Wake | Download
- Mczo Morfan – Mapenzi Sio | Download
- Mczo Morfan – Moyo Wangu | Download
- Mczo Morfan – Teacher | Download
- Mczo Morfan – Sara | Download
- Mczo Morfan – Mi Nacheka | Download
Maelezo ya Album
- Msanii: Mczo Morfan
- Album: Pamoja Gang Family (PGF)
- Genre: Singeli / Uswazi Vibes
Album hii ni ushahidi wa ubunifu, kasi na ubora wa Mczo Morfan katika kuwakilisha sauti ya mtaa na kuisukuma Singeli mbele zaidi.
Pakua album kamili ya “Pamoja Gang Family” sasa kupitia IK MZIKI,Usisahau kutufuatilia kwa nyimbo mpya, album, EP na habari zote moto za Singeli 🇹🇿
#MczoMorfan #PamojaGangFamily #PGF #Singeli #IKMZIKI
