BETTING

AFCON 2025: 1xBet yaendeleza hadhi ya kuwa mshirika mkuu wa CAF

Download | Play Now
AFCON 2025 1xBet yaendeleza hadhi ya kuwa mshirika mkuu wa CAF

Kampuni ya kimataifa ya ubashiri 1xBet imekuwa mshirika rasmi wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) tangu mwaka 2019. Katika kipindi hicho, kwa msaada wa kampuni hiyo, shirikisho limefanya zaidi ya mashindano 35 makubwa barani Afrika.

Ushirikiano kati ya 1xBet na CAF umeongeza idadi ya watazamaji wa mashindano na kuinua kiwango cha soka kwa ujumla. Katika nusu ya pili ya mwaka 2025 pekee, msaada wa kampuni hiyo umehusisha mashindano kama WAFCON, CHAN, Super Cup ya CAF, Ligi ya Mabingwa ya CAF na Kombe la Shirikisho la CAF.

1xBet inaendelea kuunga mkono soka la Afrika na mashabiki. Kampuni hiyo imeandaa shughuli kadhaa maalumu kwa ajili ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025, mashindano makuu ya mwaka, yatakayoanza Desemba 21 nchini Morocco.

Timu ya kampuni hiyo itakuwa ikifuatilia mechi moja kwa moja, ikionyesha mazingira ya mashindano. Wanablogu maarufu pia watajiunga na mradi huo, wakitengeneza maudhui ya kipekee na kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja wa 1xBet.

Ili kuingiliana na mashabiki ana kwa ana, kampuni hiyo inapanga kuandaa maeneo maalum ya mashabiki (fan zones) nchini Zambia, Ghana, Nigeria na Kenya, pamoja na promosheni kwenye maduka ya ubashiri katika Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mashabiki pia watapata nafasi ya kushiriki shughuli mbalimbali mtandaoni, zikiwemo mashindano yenye zawadi kupitia kurasa za kampuni hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Kwenye jukwaa la 1xBet, wachezaji watapata fursa mbalimbali za kubashiri zenye odds za juu kwa mechi za AFCON, pamoja na promosheni ya “Trophy Hunt,” ambako mtu anaweza kushinda vifaa vya kisasa na zawadi nyingine.

“Tuna fahari na ushirikiano wetu wa muda mrefu na CAF. Lengo letu ni kuunda mazingira ya kukuza michezo barani Afrika na kuwapa mashabiki uzoefu wa kipekee. AFCON 2025 itakuwa sherehe ya soka, na tunataka kuunganisha mashabiki wote wa bara hili,” alisema mwakilishi wa 1xBet.

Fuata taarifa mpya kupitia kurasa rasmi za 1xBet na CAF ili kuwa wa kwanza kujua taarifa muhimu!

Kuhusu 1xBet

1xBet ni kampuni inayotambulika duniani, yenye uzoefu wa miaka 18 katika ubashiri na kamari mtandaoni. Wateja wa kampuni hiyo huweka ubashiri kwenye matukio ya michezo maelfu na kucheza michezo maarufu kutoka kwa watoa huduma bora kwenye kasino mtandaoni. Tovuti na app ya kampuni zinapatikana kwa lugha 73. Orodha ya washirika rasmi wa 1xBet inajumuisha FC Barcelona, Paris Saint-Germain, Serie A ya Italia, FIBA, Volleyball World na chapa nyingine kubwa za michezo duniani. Mwaka 2024, kampuni hiyo ilitajwa kuwa Mtoa Huduma Bora ya Ubashiri Afrika kwenye Tuzo za SiGMA Africa, na jukwaa lake hutembelewa na zaidi ya watumiaji milioni 3 kila mwezi kutoka duniani kote.

Kuhusu CAF

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) ndilo chombo cha juu cha kusimamia soka barani Afrika, likiwa na jukumu la kukuza mchezo, kuandaa mashindano ya kimataifa na kusimamia mfumo wa timu za taifa. Shirikisho hili lilianzishwa mwaka 1957 na lina makao yake makuu nchini Misri. Leo, lina jumla ya mashirikisho ya taifa 54.