
“Kwa nini baadhi ya wasanii wanapopata umaarufu wanawasahau waliowasaidia mwanzo? ”
Kabla ya fame, kulikuwa na marafiki, maproducer, na DJs waliowainua — lakini wakifika juu, wanasahau.
Je, ni kiburi, au ni maisha tu yanavyobadilika?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Wasanii #Burudani #UkweliWaMtaa
