SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, mashabiki wanachangia kuvuruga au kujenga muziki wa Tanzania

Download | Play Now
Je, mashabiki wanachangia kuvuruga au kujenga muziki wa Tanzania

“Je, mashabiki wanachangia kuvuruga au kujenga muziki wa Tanzania? ”

Wengine wanapenda kugombanisha wasanii, wengine wanaunga mkono kwa dhati.
Lakini ukweli ni kwamba bila mashabiki hakuna muziki.
Je, unadhani mashabiki wa leo wanaelewa thamani yao kweli?

Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Mashabiki #Wasanii #BurudaniYaBongo