
“Je, collabo za Bongo Fleva na Singeli zinasaidia au zinaua utambulisho wa muziki? ”
Wengine wanasema ni mchanganyiko mzuri unaopanua soko,
lakini wengine wanaona kama muziki wa asili unapoteza ladha yake.
Wewe unasemaje?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Singeli #BongoFleva #Burudani
