NUKUU

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA KIBA THE BOY KUHUSU UTULIVU

Download | Play Now
NUKUU YA LEO KUTOKA KWA KIBA THE BOY KUHUSU UTULIVU

“Utulivu ndio silaha yangu. Mambo mengine yote ni kelele.”
— Alikiba, Msanii wa Muziki kutoka Tanzania

Ujumbe: Watu wenye nguvu ya kweli hawahitaji makelele kuthibitisha uwezo wao. Wanafanya kazi kimya kimya, lakini matokeo yao yanazungumza kwa sauti kubwa. Fanya kazi kwa utulivu, mafanikio yako yatazungumza.

Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.