
Aliyewahi kuwa vixen wa wimbo “Zuwena” wa Diamond Platnumz, Zuwena, amefunguka kuwa maisha yamekuwa magumu sana kwake.
Amesema baba wa mtoto wake ameshaoa mke mwingine na hana tena muda na familia yake.
Akizungumza na Wasafi TV, Zuwena alimwomba Diamond Platnumz amsaidie ili aweze kuinua maisha yake na kumlea mwanawe vizuri.
Endelea kufuatilia IK MZIKI kwa taarifa zote za wasanii na burudani mpya kila siku.
#Zuwena #DiamondPlatnumz #WasafiTV #IKMZIKI