E NEWS SINGELI

SIDE BITE AACHIA EP YA UJAZO WA JUU (A BOY FROM KAWE)

Download | Play Now
SIDE BITE AACHIA EP YA UJAZO WA JUU (A BOY FROM KAWE)

Msanii wa Singeli anayekuja kwa kasi kutoka Kawe, Side Bite, ameachia rasmi EP yake mpya yenye jina “A Boy From Kawe.”Kazi hii ni mkusanyiko wa nyimbo tano zenye miondoko ya Singeli safi inayogusa maisha, mapenzi na mitaa ya Kawe.

Orodha Kamili ya Nyimbo – A Boy From Kawe (Singeli EP) Mapenzi,Moyo,Baby,Kijuso,Mwanetu,EP hii inatambulisha sauti halisi ya mitaa kupitia midundo mikali na ujumbe unaoelezea mapenzi, maisha na uhalisia wa vijana wa Kawe.Kupitia “A Boy From Kawe,” Side Bite anaonyesha ukuaji wake kimuziki na ubunifu unaomtofautisha na wasanii wengine wa Singeli.

Endelea kufuatilia IK MZIKI kwa taarifa zaidi na nyimbo mpya kali kutoka kwa wasanii wa Singeli Tanzania!

#SideBite #ABoyFromKawe #Singeli #IKMZIKI