SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kwanini watu hukumbuka makosa yako kuliko mema uliowatendea

Download | Play Now
SAUTI

“Kwanini watu hukumbuka makosa yako kuliko mema uliowatendea? ”

Wema huwa unasahaulika haraka, ila kosa moja linakuwa kumbukumbu ya milele.
Wewe uliwahi kuonja hilo?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MaishaYaUkweli