
SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Kwanini mara nyingi watu wanaokuombea ufanikiwe hawapo wakati unafanikiwa? ”
Unateseka ukiwa chini, wanakutumia maneno matamu.
Ukianza kuinuka — wananyamaza, wengine hata wanakutenga.
Wewe umewahi kupitia hali kama hiyo?
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MafanikioNaWivu