SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kuna mtu ambaye ukimsikia tu jina lake, moyo wako unatetemeka bado

Download | Play Now
Kuna mtu ambaye ukimsikia tu jina lake, moyo wako unatetemeka bado

“Kuna mtu ambaye ukimsikia tu jina lake, moyo wako unatetemeka bado”

Wengine hubaki rohoni hata baada ya miaka kupita — si kwa mapenzi, bali kumbukumbu.
Yako ipo kwa nani?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MapenziYaZamani