SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, studio ndogo za mtaani ndizo zinazalisha vipaji halisi kuliko studio kubwa

Download | Play Now
Je, studio ndogo za mtaani ndizo zinazalisha vipaji halisi kuliko studio kubwa

“Je, studio ndogo za mtaani ndizo zinazalisha vipaji halisi kuliko studio kubwa? ”

Wapo wasanii waliotoka ghetto, wakarekodi kwa beat ya 10k—leo ni mastaa.
Je, muziki mzuri hutoka kwa ubora wa vifaa au kwa njaa ya mafanikio?

Toa maoni yako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #StudioZaMtaa #WasaniiWaBongo