
βMwanamke jasiri ni yule anayesimama imara hata pale dunia inapomwangusha.β
β Zuchu, Mwanamuziki wa Tanzania
Zuchu anatufundisha kuwa ujasiri wa mwanamke haupimwi na nafasi nzuri anazopata bali na uwezo wake wa kusimama tena baada ya changamoto. Mwanamke akijiamini na kusimama imara, anakuwa mfano wa nguvu na matumaini kwa wengine.
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Zuchu #UjasiriWaMwanamke