E NEWS SINGELI

MUDY MSANII NA MEJA KUNTA NDANI YA TRACK MOJA HII HAINA MPINZANI

Download | Play Now
MUDY MSANII NA MEJA KUNTA NDANI YA TRACK MOJA HII HAINA MPINZANI

Baada ya muda mrefu kupita tangu watengane kimuziki, hatimaye wakali wawili kutoka Temeke — Mudy Msanii na Meja Kunta — wamekutana tena, na safari hii habari njema ni kwamba wapo kwenye maandalizi ya kuachia track mpya ambayo tayari imezua gumzo kwenye mitandao!

Nyimbo ya Mudy Msanii Hivi Karibuni : EP | Mudy Msanii – Home Sio Shwari | Download

Wawili hawa, ambao wamechangia sana kukua kwa muziki wa Singeli, wanatarajiwa kuleta moto wa aina yake kwenye ujio huu mpya. Mashabiki wengi wameanza kujiuliza: Je, itakuwa ni ngoma ya mitaani, mdundo wa ghetto au kitu kipya kabisa?

Kwa ubora na jina walilonalo kwenye game, hakuna shaka kuwa hii itakuwa collabo ya mwaka kwenye Singeli.

Nyimbo ya Meja Kunta hivi Karibuni : Meja kunta – Naoa | Download

Kaa karibu na mitandao yetu ya @IKMZIKI kwa taarifa zote mpya, feedback na ujio rasmi wa ngoma hii kali kutoka kwa Mudy Msanii na Meja Kunta.

#MudyMsanii #MejaKunta #Singeli #IKMZIKI #TemekeFinest