SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, unajua kuna watu wanafurahia ukishindwa ili wajisikie bora kuliko wewe

Download | Play Now
Je, unajua kuna watu wanafurahia ukishindwa ili wajisikie bora kuliko wewe

“Je, unajua kuna watu wanafurahia ukishindwa ili wajisikie bora kuliko wewe? ”

Si wote wanaotabasamu nawe wanataka ufanikiwe.
Umewahi kugundua hilo kwa mtu wa karibu?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #WivuWaMafanikio