
Rapper na msanii wa Singeli maarufu Babilon Samas, ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi wa lebo ya Wabongo, ametangaza rasmi ujio wa EP yake mpya itakayojulikana kama “Vibao 7.”
EP YENUEWE HII HAPA BONYEZA : EP Samas – Vibao Saba 7 (Track 7 Singeli Hit Song)
EP hii, ambayo itakuwa na jumla ya ngoma saba kali, inatarajiwa kuonesha ubora na ubunifu wa Samas ambaye amekuwa akiheshimika sana kwa uwezo wake wa freestyle na mashairi makali. Mashabiki wake wanatarajia kazi ya moto isiyo na mfano.
EP ya “Vibao 7” itapatikana hivi karibuni moja kwa moja kupitia IK MZIKI, usiache kutufuatilia kwa taarifa zote mpya na burudani zaidi!
#BabilonSamas #Vibao7 #Singeli #IKMZIKI
Full Tracklist – Vibao Saba 7 (Singeli EP)
- Samas – Mama | Download
- Samas – Huwezi Kupendwa | Download
- Samas – Nijichetue Ft Narackizzy | Download
- Samas – Baby | Download
- Samas – Usiniache | Download
- Samas – Unaonaje | Download
- Samas – Kashaniacha | Download