Msanii Wa Afrika Kusini @tyla Ameshinda Tuzo Za VMAS 2025 Katika Kipengele Cha ‘Best Afrobeats’ Kwa Wimbo Wake Wa ‘Push 2 Start’.
Katika Kipengele Hiko Tyla Alikuwa Akiwa Na Mastaa Wengine Kama Vile; Asake, Burna Boy, Wizkid, Tems, Moliy N.k.
Tyla Ameshinda Kipengele Hiko Kwa Miaka 2 Mfululizo Ambapo 2024 Alishinda Kwa Wimbo Wake Wa ‘Water’.