SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Ulishawahi kujivunia mtu, kisha akakuangusha mbele ya kila mtu

Ulishawahi kujivunia mtu, kisha akakuangusha mbele ya kila mtu

“Ulishawahi kujivunia mtu, kisha akakuangusha mbele ya kila mtu? ”

Ni aibu na uchungu vikichanganyika pamoja.
Uliwahi kupitia hali hii? Ilikuwaje?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #AibuNaMaumivu