SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Ni ndoto gani kubwa uliyoiacha kwa sababu ya ugumu wa maisha

Ni ndoto gani kubwa uliyoiacha kwa sababu ya ugumu wa maisha

“Ni ndoto gani kubwa uliyoiacha kwa sababu ya ugumu wa maisha? ”

Kuna ndoto ambazo hubaki rohoni, lakini maisha hukataa kuzibeba.
Ni ipi yako uliyoachia mikononi mwa maisha?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #NdotoZilizopotea