“Ni kisa gani kilichokufundisha kuwa pesa hubadilisha watu kuliko kitu kingine chochote? 💵”
Pesa inaweza kuleta furaha, lakini pia inaweza kufunua sura halisi ya mtu.
👉 Ulishawahi kushuhudia mtu akibadilika kwa sababu ya pesa?
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #NguvuYaPesa