SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, uliwahi kupoteza marafiki kwa sababu ya pesa au mafanikio

Je, uliwahi kupoteza marafiki kwa sababu ya pesa au mafanikio

“Je, uliwahi kupoteza marafiki kwa sababu ya pesa au mafanikio? ”

Fedha na mafanikio mara nyingine hufichua mioyo ya kweli ya watu.
Uliwahi kushuhudia hili katika maisha yako?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #RafikiWaKweli