NUKUU

SAUTI YA MTAA : Je, kuna wakati ulilazimika kujifanya mwenye furaha ilhali moyoni ulikuwa umevunjika vipande

Download | Play Now
Je, kuna wakati ulilazimika kujifanya mwenye furaha ilhali moyoni ulikuwa umevunjika vipande

“Je, kuna wakati ulilazimika kujifanya mwenye furaha ilhali moyoni ulikuwa umevunjika vipande? “

Wakati mwingine tunavaa tabasamu kama barakoa, huku machozi yakifichwa ndani.
Ulikuwa ni wakati gani kwako?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #TabasamuLaUongo