SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Je, kuna maneno ya mzazi wako ambayo bado yanakuumiza hadi leo? ”
Wakati mwingine maneno ni makali kuliko mapanga.
Ulishawahi kuambiwa kitu kikakubaki rohoni maisha yako yote?
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #ManenoYaMzazi