“Ucheshi si mzaha — ni tiba ya roho inayoumwa na matatizo ya maisha.”
— Steve Nyerere, Mchekeshaji na MC
📌 Ujumbe: Kucheka ni tiba. Mara nyingi vichekesho ni dawa ya magumu tunayopitia kila siku.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SteveNyerere #UcheshiNiTiba