“Mwanamke akiamua kuzungumza kupitia muziki, hakuna sauti inayoweza kufifisha ukweli wake.”
— Rosa Ree, Rapper na Mwanaharakati
📌 Ujumbe: Muziki ni silaha ya sauti. Mwanamke akiamua kupaza sauti yake, ni nguvu inayovunja ukuta wa kimya.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #RosaRee #Ujasiri #WomenInMusic