“Kila beat ninayounda ni kama alama ya vidole – hakuna inayofanana na nyingine.”
— Mr T Touch, Producer wa Muziki
📌 Ujumbe: Ubunifu wa producer hujidhihirisha kwenye kila kazi. Sauti bora ni ile inayobaki ya kipekee.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #MrTTouch #Producer #Ubunifu