Kamera siyo tu kifaa cha kurekodi, ni daraja kati ya msanii na mamilioni ya watu wanaotazama.”
— Lizy, Mtangazaji wa Runinga
📌 Ujumbe: Vyombo vya habari ni nguvu kubwa ya kuunganisha wasanii na mashabiki. Kamera hupeleka sauti moja kwa ulimwengu mzima.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #TVPresenter #MediaPower