“Mziki si burudani pekee — ni historia na sauti ya watu wasio na sauti.”
— Juma Nature, Msanii wa Hip Hop Tanzania
📌 Ujumbe: Kila ngoma ni simulizi. Muziki hubeba maumivu, matumaini, na historia ya mitaa yetu.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
- #NukuuYaLeo #IKMziki #JumaNature #MuzikiNiHistoria