“Hakuna shortcut kwenye mafanikio ya muziki, unachokiona ni matunda ya maelfu ya saa za jasho nyuma ya pazia.”
— Harmonize, Msanii na CEO wa Konde Gang
📌 Ujumbe: Mafanikio makubwa hutokana na bidii kubwa. Kila mafanikio ya msanii ni matokeo ya muda mrefu aliotumia akijituma bila kuchoka.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Harmonize #BidiinaJasho #KondeGang