
“Singeli yangu si maigizo, ni kioo cha maisha ya mtaa – furaha, uchungu na ndoto za vijana.”
— Dulla Makabila, Msanii wa Singeli
📌 Ujumbe: Muziki wa kweli hutoka moyoni na kuakisi maisha halisi ya jamii. Singeli ni sauti ya mtaa na kizazi kinachopambana.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #DullaMakabila #Singeli #Uhalisi
