Muimbaji, mwandishi na producer wa muziki wa Marekani Maria Carey, ashinda tuzo ya Mtv vma kwa mara ya kwanza tangu aanze muziki mwaka 1988,
Maria carey ameshinda tuzo hiyo kupitia kipengele cha r&b video kupitia wimbo wa type dangerous na kipengele cha michael Jackson video vanguard, tuzo ambayo hutolewa maalum kwa waimbaji au waongozji wa muziki ‘music directors’ walioonesha michango au athari kubwa katika kazi zao za video
tuzo hiyo huwa ya mfano wa mtu wa mwezini ‘moonman’ aliyepambwa kwa dhahabu badala ya silver kama vipengele vingine vya VMA
Kwa heshima kubwa msanii Ariana Grande aliinama mbele ya Maria Carey akimkabidhi tuzo hiyo, kama heshima kwa nguli huyo wa muziki na mtu aliemtazama kama inspiration alipoanza kazi zake huku wengi wakiliita tukio la mama na mtoto
swipe kutazama video hiyo