BETTING

Kingbet Yarejesha OFA MPYA ya “Cash Back” – Sasa Rudishiwa Hadi Mara 150 ya Dau Lako!

Kingbet Yarejesha OFA MPYA ya Cash Back – Sasa Rudishiwa Hadi Mara 150 ya Dau Lako!

Kwa mara nyingine tena, Kingbet Tanzania inaleta habari njema kwa wadau wake wote wa kubashiri na umma wa Tanzania kwa ujumla!

Kutokana na mahitaji makubwa kutoka kwa wateja, ofa yetu maarufu ya kurudishiwa dau ikiwa timu moja imechana mkeka wako imerudi tena na safari hii ni kubwa zaidi, bora zaidi, na yenye thamani isiyo na kifani!

Kwa kawaida, unapoweka mkeka wenye mechi nyingi na mechi moja pekee ikachana mkeka wako, huwa ni uchungu sana kwa wabashiri wengi.

Makampuni mengine ya ubashiri hufanya marejesho madogo sana au hata hawarudishi chochote.

Lakini kwa OFA MPYA YA KINGBET, hali ni tofauti kabisa. Hapa tunakuzawadia zaidi kuliko ulivyowahi kufikiria!

Tofauti kubwa na ofa yetu ya zamani ni kwamba:

  • Zamani, tulirudisha kiasi kilekile cha dau mteja alichotumia.

  • Sasa, tunakurudishia hadi mara 150 ya dau lako kulingana na odds zako!

Mfano Halisi wa Jinsi Mteja Anavyonufaika

Fikiria hivi:

Umetupia mkeka wa TSh 5,000 kwenye mechi 20 na mechi moja pekee ikachana mkeka wako.

Kwa OFA MPYA YA 1 CUT, unaweza kurudishiwa hadi TSh 750,000!

Hesabu yake ni rahisi:

Dau × Mara ya Odds = Marejesho

Kwa mfano:

TSh 5,000 × 150 = TSh 750,000

Ndiyo maana tunasema Kingbet haitakufanya ulie tena kwa mechi moja kukuchoma.

Jinsi Inavyofanya Kazi

  • Weka mkeka wa mechi 2 au zaidi (Accumulator Bet).
  • Ikiwa mechi moja pekee itakuchoma, bado una nafasi ya kurudishiwa pesa yako.
  • Marejesho yako hukokotolewa kwa kuzingatia odds zilizobaki kwenye mkeka wako baada ya ile mechi iliyokuchania kutolewa.
  • Unaweza kupata hadi mara 150 ya dau lako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya Kingbet.

Kwa Nini Uchague Kingbet?

  • Ofa Nyingi na Za kuvutia kwaajili ya wateja wapya na waliopo, Hakuna kampuni yoyote ya ubashiri Tanzania inayokupa hadi mara 150 ya dau lako.
  • Unafuu, Kupitia Kingbet unaweza kubashiri michezo ya soka na mpira wa kikapu kwa dau dogo zaidi la TSh 10 tu na kuendelea.
  • Thamani Zaidi kwa Wateja, Tunahakikisha kila bet ina faida, huku malipo yakiwa ni fasta zaidi.

Kwetu Kingbet, furaha ya wabashiri ndio kipaumbele chetu. Tunajua uchungu wa kupoteza mkeka kwa mechi moja tu na kwa hiyo tumeleta suluhisho bora.

Usikubali mechi moja iharibu furaha yako tena.

Weka mkeka wako sasa, na ujue kuwa Kingbet iko nyuma yako!

Jiunge nasi leo kwa ku bofya hapa