SAUTI YA MTAA

Je, kuna siku ulishawahi kutamani kurudi nyuma kubadilisha jambo moja tu

Je, kuna siku ulishawahi kutamani kurudi nyuma kubadilisha jambo moja tu

“Je, kuna siku ulishawahi kutamani kurudi nyuma kubadilisha jambo moja tu? ⏳”

Tunatamani muda urudi nyuma ili turekebishe kosa au tufanye uamuzi bora.
👉 Wewe ungetamani kurudi siku gani na kwa nini?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MudaHaurudi