SAUTI YA MTAA

Je, kuna jambo ambalo ulisema kwa hasira, na likabaki kuwa doa maishani mwako

Je, kuna jambo ambalo ulisema kwa hasira, na likabaki kuwa doa maishani mwako

“Je, kuna jambo ambalo ulisema kwa hasira, na likabaki kuwa doa maishani mwako? ”

Maneno hayarudi nyuma, na mara nyingine huua zaidi ya mapanga.
Ni neno gani ulilosema ambalo unalijutia hadi leo?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #ManenoYaMaumivu