Morogoro Singeli Finest, maarufu kama Jay Combat, ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la Sound of Africa Chapter 2. Kazi hii ya kipekee imebeba jumla ya nyimbo 12 nzito, zinazochanganya sauti kali, mahadhi ya Singeli halisi na ubunifu wa kisasa unaoleta ladha mpya kwenye muziki wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
ALBUM Hii Hapa Bonyeza U Download | ALBUM Jay Combat – Sound Of Africa Chapter Two (12 Hit Song)
Album hii ni mwendelezo wa Sound of Africa ya awali, lakini sasa Jay Combat amepiga hatua kubwa zaidi kwa kuonyesha ubunifu na versatility yake. Wadau wa Singeli na mashabiki wa muziki wa kitanzania wanatarajia burudani ya hali ya juu kupitia project hii ambayo tayari imeanza kuzua gumzo mitaani.
Album Sound of Africa Chapter 2 inapatikana ndani ya IKMZIKI.COM kwa mashabiki wote wanaotaka kuisikiliza na kuipakua.
Usiache kutufollow mitandaoni kwa habari zaidi za muziki na burudani:
- Facebook: IKMZIKI
- Instagram: ikmzikitza
- YouTube: IK MZIKI TV
- Tik Tok : IK MZIKI
Full Tracklist – Sound Of Africa Chapter Two (12 Hit Songs)
- Jay Combat – Usiniachie | Download
- Jay Combat – Goma Jujuu | Download
- Jay Combat – Sijui Nikoje | Download
- Jay Combat – Moyo | Download
- Jay Combat – Wamebadilika | Download
- Jay Combat – Shahidi | Download
- Jay Combat – Utachomwa | Download
- Jay Combat – Jitangaze | Download
- Jay Combat – Watu wa Mungu | Download
- Jay Combat Ft. Machupa – Pombe | Download
- Jay Combat – Amina | Download
- Jay Combat – Walale | Download