Msanii Bekaflavour amethibitisha kuwa ameachana na aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu zaidi ya miezi 8 ila hakuwahi kuweka wazi hilo pia amedai kwa sasa mrembo huyo ana mpenzi wake mwingine na yeye anaendelea na maisha mengine wamebaki tu wanalea mtoto .