Katika kipindi chetu maalum cha KAZALIWA, leo tarehe 4 Agosti, tunakuletea list ya wasanii maarufu waliozaliwa siku kama ya leo kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni siku maalum ya kumbukumbu kwa mastaa hawa kwenye tasnia ya burudani:
1. Frida Amani – Tanzania
- Msanii wa Hip Hop kutoka Arusha, anayeendelea kupeperusha bendera ya Bongo Hip Hop kwa nguvu.
2. Meghan Markle – USA
- Muigizaji maarufu aliyejulikana sana kupitia series ya Suits, pia mke wa Prince Harry wa Uingereza.
3. Louis Vuitton (alizaliwa 1821 – Ufaransa)
- Mbunifu na mjasiriamali wa mitindo anayekumbukwa kwa kuanzisha brand ya kifahari zaidi duniani – Louis Vuitton.
4. Barack Obama (Sr.) – Kenya
- Baba wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, ambaye pia alikuwa msomi na mchumi mashuhuri.
Tunawatakia heri ya kuzaliwa wote waliotimiza mwaka leo tarehe 4 Agosti. Kama kuna msanii mwingine unamfahamu aliyekuja duniani siku kama hii, tuandikie kwenye comment au DM kupitia @ikmziki.
Soma pia: