“Je, umewahi kupanda daladala na kushuka bila kulipa nauli? Ilikuwaje, uliponea vipi?”
Kuna wakati maisha huwa magumu au unajikuta tu kwenye hali ya ajabu.
Wengine waliponea kwenye foleni, wengine walikimbia, wengine walisingizia…
Soma na hii pia : SAUTI YA MTAA : Wasanii wa sasa wanawakilisha jamii au wanachafua jamii
Tupia story yako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MaishaYaUkweli #DaladalaExperience